Wednesday, 19 June 2013

I LOVE YOU MORE!!! NDIVYO ANAVYOONEKANA KUSEMA KANYE WEST KWA MPENZI WAKE KIM KARDASHIAN AMBAYE AMEJIFUNGUA MTOTO WA KIKE SIKU ZA KARIBUNI..


Rapper Kanye west na Mpenzi wake Tv Star Kim Kardashian
alfajiri ya tarehe 15 june walikuwa wenye furaha zaidi
baada ya mpenzi wake Kim Kardashian  kujifungua mtoto wa kike.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!