Thursday, 13 June 2013

DIAMOND AWASHUTUMU WANAOTUMIA JINA LAKE KWENYE MTANDAO WA FB KUTAPELI.

TAARIFA MAALUMU KUHUSU POST YA MIKOPO ILIYOWEKWA KWENYE FACEBOOK ACCOUNT YA DIAMOND PLATNUMZ




Habari rafiki, ndugu na mashabiki zangu 
wote kwa ujumla, kwa wale wanaofatilia Facebook Account zangu 
yani diamondplatnumz mtakumbuka
 mchana wa leo kuna post ilitumwa kupitia account zangu 
za facebook  ikihusu mambo ya mikopo na kuwataka 
watu wachangie, ukweli ni kwamba hiyo post imewekwa
 pasipo ridhaa yangu baada ya watu ambao
 sawafahamu ku-hack acount yangu na kufanya
 kitendo hicho, mimi kama Diamond na team yangu 
nzima ya WASAFI
tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza,na 
tunaendelea kufuatilia jinsi ya kuwatia mbaroni
 waharifu hao wa ku hack acount na kuwafikisha sehem 
husika ili iwe fundisho kwa wote wenye tabia hiyo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!