skip to main |
skip to sidebar
CCM YAPINGA MUUNDO WA SERIKALI TATU.

Chama Tawala nchini Tanzania, CCM bado kinaonekana kuendeleleza sera yake ya kupinga muundo wa serikali tatu ambao hivi sasa unapendekezwa pia katika rasimu ya Katiba Mpya iliowasilishwa mwanzoni mwa wiki iliyopita. Itakumbukwa kwamba hapo kabla tume mbili zilizoundwa zilipendekeza mfumo wa serikali tatu katika muungano kati ya iliokuwa Tanganyika na Zanzibar lakini mapendekezo yao hayakutekelezwa . Nini maoni yako kuhusu rasimu hii ya katiba Mpya?
No comments:
Post a Comment