Saturday, 18 May 2013
YANGA YATAMBA UWANJANI KWA KUWALAZA WATANI WAO WA JADI SIMBA SPOTSCLUB 2-0
SHEREHE za Yanga kutwaa taji la 24 la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara zimefana jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hiyo inafuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya watani wao jadi Simba SC katika mchezo wa kufunga pazia la ligi hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment