Friday 17 May 2013

KABLA YA KUSAHAU YALIYOTOKEA ARUSHA , WATU WENGINE WATANO WAKAMATWA NA VIFAA VYA KUTENGENEZEA MABOMU JIJINI DAR-ES-SALAAM



Watu watano wamekamatwa na Vifaa maalum vinavyohusika katika utengenezaji wa mabomu, Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Da-es-salaam, Kamanda Suleiman Kova, amesema watu hao hawakuwa na leseni  ya kumiliki vifaa hivyo wala hawakuonyesha wamenunua wapi Vifaa hivyo na Walikuwa na nia gani, Polisi inaendelea na uchunguzi zaidi.



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!