Wednesday 15 May 2013

MANGE KIMAMBI AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND," SIMCHUKII DIAMOND KWANZA MIMI NI BIG FAN WA MZIKI WAKE









Wapenzi nimesoma comments zenu 90% mshabadilisha mawazo mnamuhukumu Wema sasa.

Jamani sometimes tumieni akili sawa. Hivi ingekuwa wewe ndo Diamond knowing 90% of ur fans are women,

ungesema nini???? Ungesema uliamua tu kumwacha Wema sababu alishakusaidia kupanda chati?? Si inabidi tu

ujisafishe. Diamond alishawahi kunieleza alichoongea hapo kwenye interview on BBM kipindi kile cha diamonds are forever

and i asked Wema hapo hapo kwa BBM. Wema was  shocked and almost in tears, all she said was i started seeing somebody else

baada ya mambo yake na Kidoti asiseme nilikuwa na mtu before that. She was so mad kiasi cha kwamba hakutaka hata kuchat tena

aliji record kwenye voice not akanitumia voice not maana alihisi kwa maneno sitaelewa vizuri. Ningekuwa nna ruhusu yake labda ningeiruisha hiyo voicenote mumskie

majibu yake kwenye hizi allegations za yeye kuwa na wanaume wengi.

Hivi kuna mwanaume ambae anaweza kweli kuvumilia mwanamke wake analiwa na wanaume kibao yeye yumo tu eti huko in love???

Kama asemayo Diamond ni kweli basi ni kwamba he never loved Wema alikuwa anatafuta fame alivyoipata ndo akaona hawezi kuwa na mwanamke malaya au???

Jmanai kama kuna mwanamke mie namajua who knows how to love a man bila hata kuwa na senti ni Wema Sepetu, she is always after real love


 

 

yani kile kipindi cha Jumbe nilikuwa nakasirika mpaka nataka kupasuka , namgombeza aachane nae anasema, ' I love him'. Same na huyo Diamond

she used to say 'I love him, i cant leave him' sasa Diamond akisema Wema had so many other men pembeni, it just doesn't register with me.

Diamond is the real drama creator hapa, Bongo kuna wanawake milioni kidogo, kwanini atoke na wanawake wenye link na Wema and therefore create drama?????

Kipindi nipo Dubai Kuna siku nilimtuma Wema kitu kwa mamake akaniambia anaenda at a certain time, mie nikawa nasubiria anipe jibu hanipi kuingia BBM

kaweka picha na status With my BFF Penny at her place. Nkampigia simu kugombeza anaona ni maana zaidi kuspend time na Penny kuliko kwenda kwa mama nilipomtuma?


 


 

Thats how close she was with that Penny chick.So wema might be over Diamond but the fact that the girl he is with now was her bestie

yawezekana ndo kinachomsumbua mnoooo.........

Jamani wanaume wa kibongo wote tunawajua tabia zao sasa sijui kwanini hata tunapata tabu ya kupata jibu la 1+1 =

yawezekana maybe only 10% or less of Tanzanian men are capable of being faithful...

Wengine mnamsema sijui katoka na mume wa mtu, eeeish so what??? Unajua sometimes tuangalie reality ya maisha and not what we think life should be like....

Alafu utakuta 90% ya wanaocomment kuhusu mume wa mtu weneywe washabeba waume za watu.

When it comes to mapenzi au waname, it's survival of the fittest.....


 

I only have a problem with a woman, who pretends to be my friend, comes to my home and holds my children then she is sleeping with my husband,

huyo ntamnyonya macho but some woman out there that i dont even know, hanijui simjui, aisee i will deal with my husband. It's probably not even her fault.

kwanza hujui mumeo alimwambia nini huyo mwananmke mpaka akamkubali, hujui alifanya nini mpaka akampata.

So ladies stop blaming or dealing with a woman u dont know, hujui hata kamjuaje mumeo,, but if she was ur bestie unaruhusa ya kumuua hata mahamani unaweza kuclaim 'provocation au crime of passion' ....hehehhehehheheehh


 

PS. Mnaosema i hate DIAMOND, i don't hate him hata kidogo. Hate is too personal jamani. I'm actually a huge fan of his music. Ila im a blogger so akimake news

inabidi niziongelee  especialy zinazomuhusu Wema. Otherwise im not a diamond hater not even close.......lol



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!