Tuesday 21 May 2013

RAISI BARACK OBAMA KUTEMBELEA BARANI AFRIKA IKIWEMO TANZANIA MWEZI UJAO

 

U.S. President Barack Obama is photographed standing in front of the Resolute Desk in the Oval Office of the White House, December 6, 2012.

 

Rais Barack Obama wa Marekani anatarajiwa kufanya ziara barani Afrika mwezi ujao, ambayo itamfikisha katika nchi za Senegal, Afrika Kusini na Tanzania. Ziara hiyo itakayoanza Juni 28 hadi Julai 3 itajumuisha mikutano kati yake na viongozi wa serikali, wafanyabiashara na mashirika ya kiraia, kwa lengo la kusogeza mbele amani ya kanda na maendeleo. Tupe m kuhusu ziara ya Obama Afrikaaoni yako

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!