PONDA KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE, NA WENGINE 49 KUACHIWA HURU.
Mahakama kuu ya Kisutu imemhukumu kifungo cha nje, kwa muda wa mwaka mmoja, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za kiislamu nchni Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, na kwamba washitakiwa wengine 49 wameachiwa huru.
No comments:
Post a Comment