Tuesday 14 May 2013

MWANAUME ALIYELAZWA WODI YA WANAWAKE KATIKA HOSPITALI YA AMANA AFARIKI DUNIA.


 MAAJABU zaidi yamebainika kuhusu kijana wa kiume, Karina Mohamed ‘Natalia’, 20, aliyelazwa wodi ya wanawake akidhaniwa ni mwanamke


Karina Mohamed "Natalia" akiwa katika Hospitali ya Amana.
Karina alilazwa katika wodi ya Wanawake akidhaniwa ni Mwanamke, kabla ya kugundulika akiwa katika chumba cha maiti  baada ya kufariki dunia.

Habari zinasema Karina ni Raia wa Kenya Mombasa, mpaka sasa hakuna ndugu yeyote aliyejitokeza kumtambua.  Kamanda wa kipolisi wilaya ya ilala, Bi Marietha Minangi ameeleza kuwa endapo zitapita siku saba bila ndugu yeyote kujitokeza basi itabidi azikwe na jiji.



Karina Mohamed enzi za uhai wake.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!