BANK YA NMB KUTOA SHILINGI MIL 10 KWA WALIOATHIRIKA NA BOMU HUKO ARUSHA
Waziri mkuu Mhe, Mizengo Pinda akipokea Hundi yenye thamani ya sh Mil 10,kutoka kwa mkuu wa Idara ya mahusiano ya biashara za serikali NMB, Bi Domina Feruzi, kwa ajili ya wahanga wa bomu huko Arusha.
No comments:
Post a Comment