Wednesday 15 May 2013

ACHENI VISINGIZIO VYA UMASKINI, CHANGIENI SUALA ZIMA LA ELIMU.

DSC03912 
JAMII imetakiwa kuhakikisha kuwa kamwe haiachi kuchangia suala zima la
elimu kwa kisingizio kuwa ni maskini  hasa maeneo ya Vijijini  na
badala yake wanatakiwa  kutumia rasilimali walizo nazo kama vile mazao
na mifugo na kuzibadilisha kuwa fedha ili ziweze kusaidia maendeleo ya
shule hasa vijijini.
Kauli hiyo imetolewa na  Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Arusha
  Bw. Onesmo ole Nangole wakati akiendesha harambee kwa ajili ya
ujenzi wa sekondari ya Ngabobo iliyopo kata ya Ngarenanyuki Wilayani
Meru mapema wiki hii

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!