Maofisa watatu toka wizara ya Ardhi, nyumba na makazi.
Kaimu mkurugenzi wa mipango na sera (Simon Razaro) akifuatiwa na Bw,Gerard Mango ambaye ni mkuu wa tume ya Taifa ya matumizi ya Ardhi, na pia Bw, Charles Kijuba amabaye ni kaimu mhasibu mkuu.Wamefikishwa katika mahakama ya kisutu kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha zaidi ya sh Mil 200. washitakiwa wamekana mashitaka hayo.
No comments:
Post a Comment