Tanzanian journalist Richard Mgamba, albino community representative, Isaack Timothy, and Ghanaian investigative journalist Anas Aremeyaw Anas set out to discover what lies behind the attacks against albinos.
Je,ni kweli kwamba jamii yote imeshindwa kukomesha ukatili huu?Je,ni kweli kwamba hatuwajui watu wanaofanya ukatili huu?
Je,ni makosa kwa mtu kuzaliwa na ulemavu wa ngozi?Kwanini wenzetu waishi katika hali ya wasiwasi na katika hali ya kutokuamini mtu yeyote?
Je,wewe umefanya nini ili kukomesha ukatili dhidi ya albino?
CHUKUA HATUA!
Mwanaharakati Josephat Torner ambaye ni mlemavu wa ngozi,aliamua kuweka nguvu zake zote katika kuielimisha jamii ili kumaliza tatizo la ukatili dhidi ya maalbino.
Documentary hii si ya kukosa.
IN THE SHADOW OF THE SUN ni documentary.
Bonyeza hapa chini kwa kuona documentary hii
http://www.svtplay.se/dox

No comments:
Post a Comment