Tuesday, 16 April 2013

MILIONEA WA KICHINA ANATARAJIA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA

Mwekezaji toka China Bw Zhou YI
Mmiliki wa makampuni mapya yanayofahamika kama Hangxu Group of companies ambayo makao yake makuu yapo nchini China Bw. Zhou Yi, anatarajia  kujenga loji kubwa na ya kisasa katika ya mbuga ya serengeti. Mmiliki huyo ambaye ni milionea, amesema hayo alipokutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania katika kuimarisha wawekezaji., uliofannyika huko Beijing.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!