KAMPUNI YA HERITAGE KUTOKA NCHINI UINGEREZA IMEKAMILISHA RASMI UTAFITI WA MAFUTA NA GESI HUKO MBEYA.
Awamu ya kwanza ya utafiti wa mafuta na gesi katika bonde la Kyela mkoani Mbeya unaofanywa na kampuni ya Heritage ya Uingereza imekamilika kwa mafanikio, huku kukiwa na dalili njema za upatikanaji wa mafuta.
No comments:
Post a Comment