Barnabas Kahemele akiwa mahabusu na kusababisha kifo chake.
Kufuatia tukio hilo, ndugu wa marehemu Kahemele wamegoma kuuchukua mwili wa marehemu huyo uliohifadhiwa katika chumba cha maiti cha Hospitali ya Rufaa Mbeya wakidai kwamba mazingira yanaonyesha kuwa kifo chake kimetokana na kipigo cha polisi baada ya kumkamata
Kutokana na maelezo ya mke wa marehemu Sara Mhwanji, alidai kuwa polisi walifika nyumbani kwao usiku na kumchukua mumewe na kwenda nae katika kituo cha polisi kilichopo uyole, nakwamba siku iliyofuatia alifika kituoni hapo kujua nini hatima ya mume wake, alielezwa kuwa mumewe bahati mbaya amefariki dunia.
habari kwa hisani ya mbeya yetu.
No comments:
Post a Comment