![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgE9OG130l3Lg-c6aDmkeKFK1Zz7333-nY9rH89n951_ljXnV3tl5NRgd-oJENXJjY1X7NVlVGN1c3IDcpyk_7lbKusbIU9HRK0nUGTT05XwzD-bBTocBPP-4DhABx4VnPLxhQQZmEWsMs/s640/DE.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DUgU7alEInQ/UXwccidKLpI/AAAAAAAAfEg/Q-N8oYXYUko/s640/DIAMOND.bmp)
Msanii DIAMOND PLATNUM, amejibu mashambulizi yaliyoibuka baada ya yeye kufika London, ambapo imedaiwa kuwa kitendo cha yeye kuanza kupiga picha mbele ya magari ya kifahari na kuzituma picha hizo mtandaoni, kimedaiwa kuwa ni cha kishamba, kauli hizo zimemkera msanii huyo na ameamua kujibu mashambulizi na kusema kuwa wale wote wanaoleta, za kuleta ni mataahira na hawaogopi, kwani mungu ndiye mwenye uwezo wa kila jambo.......
habari kwa hisani ya mpekuzi.
No comments:
Post a Comment