Tuesday 30 April 2013

AINA MPYA YA VIINI SUGU VINAVYOSABABISHA MALARIA, VIMEGUNDULIWA HUKO CAMBODIA.

Aina mpya ya viini sugu vinavyosababisha Malaria na ambavyo havisikii dawa vimegunduliwa na wanasayansi

Watafiti wamevigundua viini hivyo Magharibi mwa Cambodia na wanasema kuwa vina umbo tofauti la genetiki ikilinganishwa na viini vingine duniani.
Habari zinazohusiana
Majaribio ya chanjo ya malaria yatoa matumaini
Vifo kutokana na malaria vyapungua
... Taarifa zinazohusiana
afya
Viini hivi ni sugu kiasi cha kutosikia dawa aina ya Artemisinin, dawa yenye nguvu zaidi katika kutibu Malaria

Aina mpya ya viini sugu vinavyosababisha Malaria na ambavyo havisikii dawa vimegunduliwa na wanasayansi.
Watafiti wamevigundua viini hivyo Magharibi mwa Cambodia na wanasema kuwa vina umbo tofauti la genetiki ikilinganishwa na viini vingine duniani.
Habari zinazohusiana
Majaribio ya chanjo ya malaria yatoa matumaini
Vifo kutokana na malaria vyapungua
Taarifa zinazohusiana
afya
Viini hivi ni sugu kiasi cha kutosikia dawa aina ya Artemisinin, dawa yenye nguvu zaidi katika kutibu Malaria

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!