Hatimae polisi wafanikiwa kumkamata dereva aliyemgonga askari wa usalama barabarani (elikiza Lokisa Nko) ambaye aliyefariki dunia papo hapo mara baada ya kugongwa na gari aina ya, landlover discovery ambapo dereva wa gari hilo alikimbia, polisi imemtambua dereva wa gari hilo kuwa ni Jackson Stephen, ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi. pichani rais Kikwete akiwa na mume wa marehemu alipofika kuhani msiba huo, nyumbani kwa marehemu huko ununio nje kidogo ya jiji la dar-es-salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment