Monday, 17 January 2022
Muda una majibu mengi ya maswali yetu kuliko tunavyodhani."-Maulid Kitenge
"Mtu akikupenda mpe muda, akikuchukia mpe muda, akiwa muwongo mpe muda, akikujali mpe muda, akikukimbia mpe muda, mchawi mpe muda, mcha Mungu mpe muda na mnafiki mpe muda. Muda una majibu mengi ya maswali yetu kuliko tunavyodhani."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment