Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye ameanza kuchukua hatua za kukabiliana na uingiaji wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo kutoka nchi za jirani kwa kuimarisha ufuatiliaji wa wageni wanaoingia kupita maeneo yote ya mipaka nakuwataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari.
Sunday, 26 September 2021
Tahadhari ya ugonjwa wa uti wa mgongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment