Sunday, 8 August 2021

Wanafunzi waliwa na simba

 

Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Ngoile Kata ya Orbalbal wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameuawa kwa kuliwa na Simba.

Taarifa ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro imeeleza kuwa, wanafunzi hao waliuawa wakati wakitafuta mbuzi waliopotea.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!