"Juzi Mwananyamala nimeingia wodi ya wanaosubiri kujifungua nikamkuta mwanangu huyo anavyochachachika kujitayarisha kumleta mwanadamu ulimwenguni, nilichokifanya ni kumchua kiuno na kumpa maneno mazuri"- Rais Samia Suluhu
"Kwa wale wazazi wenzangu nadhani mnajua wakati ule wa kusubiri kujifungua maumivu yanavyokuwa, hivyo unahitaji mtu wa kukupa maneno mazuri na kukuombea na ndicho nilichofanya kwa mwanangu yule na ni matumaini yangu alijifungua salama"- Rais Samia Suluhu
No comments:
Post a Comment