Wednesday, 23 June 2021

Hamisa Mobetto- Ni heshima kubwa sana kuteuliwa kuitumikia nchi yangu.

 
Ni heshima kubwa sana kuteuliwa kuitumikia nchi yangu. Ni heshima kubwa kuliko maneno ninayoweza kutumia kuielezea!

VerifiedNi heshima kubwa sana kuteuliwa kuitumikia nchi yangu. Ni heshima kubwa kuliko maneno ninayoweza kutumia kuielezea!Nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai na hekima aliyoweka ndani yangu.Nimshukuru Pia Rais wangu Mama Samia Suluhu Hassan na serikali nzima akiwemo Waziri wa Fedha na Mipango @mwigulunchemba kwa kuendelea kuamini vijana kwenye ujenzi wa Taifa letu!

Nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai na hekima aliyoweka ndani yangu.

Nimshukuru Pia Rais wangu Mama Samia Suluhu Hassan na serikali nzima akiwemo Waziri wa Fedha na Mipango @mwigulunchemba kwa kuendelea kuamini vijana kwenye ujenzi wa Taifa letu!
Kwa kutambua umuhimu wa kodi kwenye uendeshaji wa miradi ya nchi na kuchagia maendeleo ya Taifa, naahidi kuitumikia vyema nafasi yangu niliyoteuliwa ya ubalozi wa uhamasishaji wa ulipaji kodi kwa maslahi ya Taifa langu, naahidi kushirikiana na mabalozi wenzangu @edokumwembe na @samagoal77 pamoja na viongozi na wadau mbalimbali wa masuala ya ulipaji kodi!

Mwenyezi Mungu nisaidie🙏🏿
#kaziiendelee

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!