Mtoto mwenye umri wa miaka sita aliyejulikana kwa jina la Petro Mkinga mwenye umri wa miaka sita mwanafunzi wa awali katika shule ya msingi ya Ifinga, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoani Ruvuma ameuawa kwa kushambuliwa na chui. Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Songea, Bwana Pololet Kamando Mgema amesema utaratibu wa kumtafuta chui huyo na kumuua unafanyika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment