Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Dar es salaam, Lindi, Kusini mwa Mkoa wa Morogoro na Pwani
(ikijumuisha visiwa vya Mafia) kwa muda wa siku tatu kuanzia leo Jumamosi hadi Jumatatu April 05,2021, athari zinazoweza kutokea ni makazi kuzungukwa na maji na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishwaji———“tafadhali zingatia na ujiandae”
No comments:
Post a Comment