Thursday, 22 April 2021

Lindi na Mtwara zatahadharishwa kimbunga cha Jobo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetahadharisha mikoa ya mwambao wa Bahari ya Hindi hasa mikoa ya Lindi na Mtwara kuhusu kimbunga cha Jobo ambacho kipo kaskazini mwa Madagascar


Kimbunga kitasababisha ongezeko la upepo na mawimbi katika bahari ya Hindi. TMA wanaendelea kufuatilia kuangalia uelekeo wa kimbunga hicho

Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari ya upepo na mawimbi iliyotolewa na TMA


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!