Friday, 19 March 2021

RAIS WA ZANZIBAR AMPA POLE MAMA JANETH MAGUFULI

Kutoka Dar es Salaam Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemfariji na kumpa pole Mama Janeth Magufuli ambaye ni Mjane wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na kumtaka awe na subira yeye pamoja na familia yake katika kipindi hichi kigumu cha msiba.

.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!