Thursday 4 March 2021

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine nne za kutoa dawa kwa njia ya mvuke ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa upumuaji.

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine nne za kutoa dawa kwa njia ya mvuke ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa upumuaji.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili, Profesa Lawrence Museru amesema mashine hizo tatu zimefungwa hospitali hiyo ya Upanga na moja imefungwa Muhimbili Mloganzila ikiwa ni njia mojawapo katika kupambana na magonjwa ya kupumua pamoja na Corona
“Mashine hii ya kujifukiza inaenda sambamba na dawa za asili kwani inatumia dawa ya bupiji, inawekwa kwenye maji yanayotoa mvuke kisha mgonjwa anajifukiza kwa dakika tano hadi 10,” alisema.

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!