Wednesday, 17 March 2021

Askari Magereza wanne wa Gereza la Baltimore wapewa mimba na mfungwa

 UNAAMBIWA Mwaka 2013 Askari Magereza wanne wa Gereza la Baltimore Nchini Marekani, walibainika kupewa mimba na Mfungwa mmoja aitwae Tavon White ambaye alikuwa Gerezani kwa kosa la Mauaji, uhusiano wake na Askari hao ulimuwezesha kuendelea kusimamia kundi la uhalifu akiwa Gerezani.

Maaskari hao ni Jennifer Owens, Katera Stevenson, Chania Brooks na Tiffany Linder ambao walifunguliwa pia mashtaka Mahakamani kwa kosa hilo, Owens alikutwa na Tattoo ya Tavon shingoni na Stevenson alikutwa na Tattoo ya Tavon kiunoni. 🤔🤔.
Ayo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!