Wednesday, 17 February 2021

Breaking News-Katibu mkuu kiongozi Balozi John Kijazi Afariki dunia

 

Rais Magufuli ametangaza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kilichotokea leo February 17,2021, Kijazi amefariki saa 3:10 usiku akiwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!