Saturday, 9 January 2021

Watu wanne wamefariki Dunia Nchini Marekani kufuatia fujo

Watu wanne wamefariki Dunia Nchini Marekani kufuatia fujo zilizotokea baada ya Wafuasi wa Rais Donald Trump kuvamia Bungeni wakipiga kelele kuwa kura za Trump zimeibiwa na kwamba wanataka Trump abaki madarakani.

Waliofariki ni Mwanamke mmoja ambaye alipigwa risasi pamoja na wenzake watatu, Polisi wamethibitisha na kusema pia wamewakamata zaidi ya Watu 50 kutokana na fujo hizo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!