Thursday, 7 January 2021

Kikwete-Mtoto wa kiume hafundishwi kupika ukionekana jikoni utaulizwa"



 "Zamani nyumba nyingi zilikuwa ni za makuti na zingine za mapipa, pale Magomeni nyumba nyingi zilikuwa ni mapipa lakini baada ya Uhuru ndipo ikaanzishwa program mamalum ya kubadilisha nyumba hizo" - Rais Mstaafu Jakaya Kikwete


"Mimi nakula vyakula vya kawaida tu, nikiwa nyumbani napenda kula chakula cha Mtama na Mlenda. Mimi kupika sijui kwa sababu katika mila zetu mtoto wa kiume hafundishwi kupika ukionekana jikoni utaulizwa" - Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
"Jeshini mimi nilipewa barua tu nikaambiwa nenda nikaenda, wakati ule ulikuwa ni mkakati wa chama kuwaendeleza makada wake na hata majeshi pia yalikuwa na mpango wa kuongeza wataalamu zaidi" - Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!