Saturday 17 October 2020

P-Diddy azindua chama cha siasa cha watu weusi


Msanii HipHop na mfanyabiashara maarufu duniani SeanCombs Diddy amezindua chama kipya cha siasa cha watu weusi kinachoitwa 'Our Black Party' ambacho kitakuwa kwa ajili ya kuendeleza ajenda inayozingatia mahitaji ya jamii ya watu weusi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!