Wednesday 14 October 2020

OKTOBA 14: SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE


Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Mwalimu Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999


Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki kikamilifu katika harakati za kulikomboa Taifa kutoka kwa ukoloni wa Waingereza

Alikuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika na aliongoza tangu Taifa lilipopata Uhuru, Desemba 9, 1961 hadi mwaka 1985

Alikuwa na falsafa ya ujamaa na kujitegemea ambapo aliamini ili Taifa liendelee kunahitajika watu, ardhi, Siasa safi na Uongozi bora

Tutakukumbuka daima! endelea kupumzika kwa amani, Mwalimu Nyerere!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!