Niko single kwa maana kama sijaolewa, mimi napenda sana uhuru kwenye maisha yangu, sio kwamba hakuna vitu navifanya! No! Vipo vingi lakini niko single!
Kupitia XXL napenda kutangaza kwamba niko single mtu yeyote anakaribishwa ila asije kinyonge, awe na pesa"
Ameyasema Isha Mashauzi
No comments:
Post a Comment