Tuesday, 27 October 2020

Christiano Ronaldo akutwa bado anamaambukizi ya Corona


Christiano Ronaldo amepimwa tena na kukutwa bado anamaambukizi ya Covid 19 hivyo ataukosa mchezo wa kesho wa Juventus dhidi ya Barcelona katika hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani ulaya.

Ronaldo sasa atalazimika kukaa karantini kwa mara nyingine tena.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!