Tunaweza kuzalisha fedha nyingi tuu ikiwa tutayatumia mazingira yaliyozunguka makazi yetu ipasavyo, badala ya nguvu na fedha nyingi kwenda ktk kutunza nyasi na maua, basi maua iwe sehemu ndogo na sehemu kubwa zalisha fedha, tuwe na akili za kijasiriamali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment