Juzi Mimi nikiwa natoka mwenge by saa mbili usiku,Nilikuwa nadrive, tukiwa kwenye foleni maeneo lugalo mataa ya njia panda ya kawe, nikawa nimeshusha vioo vyangu vya kushoto,mbele na nyuma ahalf,sababu AC ikizidi huwa nahisi hewa iko dry Sana, nikiwaza taa zikiruhusu nipandishe vioo niwashe AC. ghafla wakaibuka vibaka wawili kutoka kwenye vichaka vya lugalo,ñikashangaa wanaanza kuvuta mizigo.
Mungu akanitia nguvu ya kupambana nao huku navutia mizigo ndani kuwazuia wasiitoe,napiga kelele lkn watu wote wamefunga vioo hawasikii, ktk purukushani wakaanza kunichoma visu mkononi ili niachie mizigo lkn sikuachia, wakati huo gari yangu ilikuwa kwenye gia, ikamove kidogo na kupush gari ya mbele, kumbe ndo ikawa pona yangu,kwani niliyempush akashtuka akatoka aone Nani kamgonga, walipomuona ameshuka wakakimbia.
CREDIT: MDAU FACEBOOK.
No comments:
Post a Comment