PICHA: Ni matukio mbalimbali ya picha kabla na baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM - Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) Jijini Dodoma leo, akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea Mwenza.
Baada ya kuchukua fomu JPM amesema >>”Wanachama wa CCM msitembee tu mkisema Magufuli ameshinda au Chama kimeshinda naomba mjitokeze kupiga kura, msipopigara kura maana yake hizo kura mnazipunguza,napenda kuwathibitishia nimeomba hii nafasi sio kwa kulazimishwa ila nataka kuwatumikia na kuwatetea wanyonge”-JPM
No comments:
Post a Comment