Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa msibani nyumbani kwa Familia ya Mkapa amesema mwili wa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa unatarajiwa kuagwa kwenye uwanja wa Taifa DSM kisha taratibu nyingine zitafuata.
“Kamati ya mazishi ya Serikali inaendelea na maandalizi kwa kushirikiana na Familia na tutatoa taarifa za kujua mwili unaagwa lini, unazikwa wapi na lini na mambo mengine” -MAJALIWA
No comments:
Post a Comment