
"Kifo ni siri ya Mwenyezi Mungu jana jioni nilikwenda kumuona hospitali, hakuwa mgonjwa kwamba unatilia shaka, nimeondoka nikimuaga kwamba ntakuja tena kesho kukuona , kifo ni siri kubwa manaake ungekuwa unajua ungeweza kusema hata tunaagana kabisa"-Jakaya Kikwete - Rais Mstaafu wa Tanzania.













No comments:
Post a Comment