Wednesday, 22 July 2020

JPM-Corona imekimbia inakoromea mbali!

“Corona imepotea, inakoromea mahali pengine pengine mbali huko, imekimbia kabisa, ushindi wa corona kukimbia sio nguvu zetu, Mungu amesikia maombi yetu, tumshukuru sana, kwahiyo Uchaguzi utafanyika salama, niisihi Tume ya Taifa ya Uchaguzi kusimamia Uchaguzi huu kwa kufuata sheria na kanuni” -JPM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!