Wizara ya Afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imesema Ebola imerudi tena na inasambaa kwa kasi, hii ni baada ya Wizara hiyo kutangaza kuwa Ebola imemalizika kabisa nchini humo wiki kadhaa zilizopita tangu June 01,2020 hadi sasa Watu 54 wameathirika na Ebola huku vifo vikifikia 22”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment