Wednesday, 15 July 2020

BREAKING: Rais Magufuli ateua Mkuu wa Mkoa mpya DSM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM.
Kabla ya uteuzi huo, Kunenge alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa DSM na anachukua nafasi ya Paul Christian Makonda.
Kwa hisani ya MilardAyo.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!