Wameitupa sanamu ya Edward Colston iliyosimikwa tangu mwaka 1895 huko Bristol
Maandamano hayo yanaunga mkono kupinga ubaguzi wa rangi kote duniani
Sanamu ya aliyekuwa mfanyabisha maarufu ya utumwa katika karne ya 17 imeangushwa na kutupwa harbour na waandamaji wa Black Lives Matter.
Sanamu hiyo ilijengwa katika mji wa Bristol, United Kingdom katika karne 18. Lakini imekuwa ikileta malalamiko mengi. Watu wakitaka iondolewe kwa sababu inaonekana ni kama kumpa heshima mtu aliyejipatia utajiri kwa kuwauza waafrika na wengi wao kuwasababishia mauti!

JMF:
No comments:
Post a Comment