Wednesday, 10 June 2020

TANZIA: RAIS NKURUNZINZA AFARIKI DUNIA

 Image may contain: 1 person
Amefariki akiwa na miaka 55 na kwa mujibu wa Serikali ya Burundi ni kutokana na Mshtuko wa Moyo
Hivi karibuni Mke wake, Denise Bucumi alilazwa nchini Kenya kwa matibabu ya #COVID19.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!