Uingereza nao waandamana kupinga mauaji ya George Floyd
Sehemu mbalimbali nchini Uingereza, maelfu ya waandamanaji, wamejitokeza kupinga mauaji ya Mmarekani mweusi Geoge Floyd aliyeuawa kwa kukandamizwa shingoni na Police nchini Marekani mapema wiki hii
No comments:
Post a Comment