Sunday 17 May 2020

JPM-"Hakuna lockdown, wala baba yake lockdown



Image may contain: one or more people
"Hakuna lockdown, wala baba yake lockdown au ndugu yake lockdown,Mungu anatusimamia ,wakimaliza kuji lockdown watakuja huku tuwasaidie chakula, hatuwezi sisi kama Taifa huru kuruhusu Corona itawale, Mungu wetu atatawala ila corona haiwezi kutawala” Rais Magufuli-Chato

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!