Tuesday 19 May 2020

Fahamu madhara ya asali kwa mtoto mchanga


Asali siyo salama sana kwa watoto walio chini ya umri wa miezi 12, kwasababu huweza kuwa na vimelea vya Bakteria aina ya "Clostridium Botulinum"

Bakteria hawa husababisha choo cha mtoto kuwa kigumu sana, Misuli kudhoofika, baadhi yao huanza kukataa kula, ugumu katika kumeza na kupumua na hatimaye kifo

Botulism ni ugonjwa ambao ni mara chache sana kupata watoto ila akiupata si mzuri kwa afya ya mtoto.

Mama acha kumpa mtoto asali aliyechini ya mwaka subir akifika mwaka umpe maana mfumo wake wa chakula utakuwa umekomaa na hawa bacteria watakuwa hawana madhara kwake.

Dalili za Botulism kwa mtoto ni :

Mtoto kukosa choo misuli ya mtoto
kukosa nguvu Mtoto kupata shida kunyonya Mtoto kulia sana. Nk.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!